Posts
CHAGUO LAKO
- Get link
- X
- Other Apps
Hongera! Chaguo lako ni la kiwango cha juu, kwa kuichagua shule ya St.Mark's Umepewa Ofa ya miezi mitatu ya mwanafunzi kujiunga na kusoma bure bila kulipia ada mwezi wa 10-12, 2020. Tunakupongeza sana na karibu sana na mwambie na mwingine kwamba nafasi bado zipo piga 0767 044 797 kwa maelezo zaidi. Ubarikiwe sana Facebook : St.Mark's School Dodoma, Youtube : ST.MARK'S SCHOOL DODOMA, Instagram : stmarksdodoma, Sim : 0767 044 797 Miyuji Dodoma Tanzania
OFA!
- Get link
- X
- Other Apps
TUNAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021 KWA WATOTO WA AWALI MPAKA DARASA LA SITA, KARIBUNI SANA SHULE YA ST.MARK'S SHULE BORA MKOANI DODOMA NA NDANI YA TANZANIA, PIA ADA YETU NI NAFUU SANA NA ULIPWA MARA NNE KWA MWAKA, KWA MSAADA PIGA +255 767 044 797 AU +255 764 230 728 KARIBU SANA ST.MARK'S SIM: 📞 0767 044 797 Ofa! kabambe ya mwisho wa mwaka 2020, tunawatangazia nafasi za MASOMO kwa wanafunzi kuanzia Darasa la Awali mpaka Darasa la Sita. 📚 Ofa! Wanafunzi watakaokuja kuanza MASOMO kipindi iki cha Ofa Watalipa Tzs 200,000 tu ni pesa ya usajiri na Unifomu. piga 0767 044 797 kwa msaada. St.Mark's Pre & Primary School Ipo Miyuji Dodoma Tanzania (Arusha Road). P.o.box 3403 Dodoma.
GRADUATION STD VII 2020 ST.MARK'S PRE & PRIMARY SCHOOL DODOMA
- Get link
- X
- Other Apps
TANGAZO LA AJIRA MPYA LEO PDF 2022
- Get link
- X
- Other Apps
✅TANGAZO LA AJIRA SHULE YA ST.MARK'S AJIRA YA UDEREVA DARAJA "C" SHULE YA ST.MARK'S INAWATANGAZIA WATANZANIA WENYE SIFA ZILIZOTAJWA HAPO CHINI KUTUMA MAOMBI YA KAZI YA UDEREVA. ➲SIFA, UJUZI WA MWOMBAJI UNAOTAKIWA: ➧Leseni ya udereva daraja "C". ➧Ujuzi wa miaka mitatu kuendesha magari ya shule, itakuwa ni sifa ya ziada. ➧Mwenye kuwasiliana na kuhusiana vyema na wengine. ➧Mchapa kazi, mvumilivu, mstahimilivu na mwaminifu. ➧Mwenye ujuzi wa kupangilia kazi na muda vizuri, umakini na kuweza kufanya kazi kwa kujitegemea. JINSI YA KUTUMA MAOMBI: Mwombaji anatakiwa kuleta barua ya maombi, maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV), nakala ya vyeti vya taaluma na udereva. Mahali: Shule ya St.Mark's Miyuji Dodoma Tanzania. Maombi yote yanatakiwa kufikishwa shuleni ofisini kabla ya tarehe 14 March 2020. au Tuma kupitia Online Job Application Maombi yatumwe kwa: MKURUGENZI WA SHULE S.L.P 3403 MIYUJI DODOMA TANZANIA.