Posts

Showing posts with the label Michezo

TANGAZO LA MASOMO 2026

🏫 TANGAZO LA KUJIUNGA NA SHULE YA ST. MARK’S – DODOMA Tarehe ya Kutolewa: 12 Oktoba 2025 Tunayo furaha kuwataarifu wazazi/walezi kuwa fomu za kujiunga na Shule ya St. Mark's – Dodoma kwa mwaka wa masomo ujao 2026 zinapatikana kuanzia tarehe 12 Oktoba 2025. 📍 Shule yetu iko Miyuji, karibu na Chuo cha Mipango – Dodoma. Inapatikana kwa urahisi, mahali salama na tulivu kwa mazingira bora ya kujifunzia. ✅ Fomu zinapatikana: Mtandaoni kupitia tovuti yetu (www.https://saintmarksdodoma.blogspot.com/) Ofisini – Karibu utembelee ofisi zetu kwa msaada wa moja kwa moja 🎁 OFA! Kwa wanafunzi wote watakaojiunga kuanzia Oktoba hadi Desemba 2025, tunatoa punguzo maalum la ada kama sehemu ya ofa ya msimu huu. 📝 Tunapokea wanafunzi wa: Chekechea Msingi Kwa mawasiliano zaidi: 📞 Simu: [0764230728] 📧 Barua pepe: [saintmarksdodoma@gmail.com] 🌐 Tovuti: [www.https://saintmarksdodoma.blogspot.com/] 📍 Anwani: Miyuji, karibu na Chuo cha Mipango, Dodoma

TANGAZO LA MASOMO

Image
OFA KUBWA SEPTEMBER 2024-DECEMBER 2024 Tunakutangazia OFA ya kujiunga na shule yetu St.Mark's Dodoma Mjini Kwa mwezi September 2024 mpaka December 2024. Mzazi karibu umchagulie mwanao elimi Bora. OFA; mzazi atalipia ada kiasi Cha Tsh 100,000 tu. Pata fomu Bure kupitia  APPLY NOW [OFA SEPTEMBER 2024] Tunapokea 1. Baby Class 2. Middle Class 3. Pre std I 4. Std I 5. Std II 6. Std III 7. Std V 8. Std VI Wai sasa nafasi ni chache Karibuni nyote. St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania

TANGAZO LA MASOMO 2025

TANGAZO LA MASOMO MWAKA WA MASOMO 2025 OFFER KABAMBE KUANZIA MWEZI WA TISA-DESEMBA 2024 ITAKUJIA HIVI PUNDE NA UCHUKUAJI FOMU KUPITIA MTANDAO ITAKUWA BURE. .....SOON....... St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania

Ushindi wa matokeo darasa la saba 2023 St.Mark's Dodoma

Image
Matokeo ya Darasa la saba 2023 Dodoma St.Mark's kidedea kwa matokeo ya kuvutia kwa ufaulu wa DARAJA  A  (BORA)  wanafunzi 168 wote wakiwa na (A) sawa na wastani wa 280 St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania

SHINDA INFINIX BURE

Image
Facebook Facebook Page Youtube Youtube Account Insta Instagram Account Blog Blog Site  

WELCOME TO ONLINE SOREFO

GRADUATION STD VII 2020 ST.MARK'S PRE & PRIMARY SCHOOL DODOMA

Image
TANGAZO: GRADUATION YA DARASA LA SABA NA PRE STD I ITAFANYIKA TAREHE 24.10.2020 SIKU YA JUMAMOSI NYOTE MNAKARIBISHWA JINSI YA KUSHIRIKI PIGA NAMBA 0764 230 728 KARIBU SANA. PIA TUNAKUTANGAZIA NAFASI MPYA ZA MASOMO KUANZIA WATOTO WA AWALI MPAKA DARASA LA SITA PATA FOMU YA KUJINGA KWA TZS 10,000 TU.

TANGAZO LA AJIRA MPYA LEO PDF 2022

✅TANGAZO LA AJIRA SHULE YA ST.MARK'S AJIRA YA UDEREVA DARAJA "C" SHULE YA ST.MARK'S INAWATANGAZIA WATANZANIA WENYE SIFA ZILIZOTAJWA HAPO CHINI KUTUMA MAOMBI YA KAZI YA UDEREVA. ➲SIFA, UJUZI WA MWOMBAJI UNAOTAKIWA: ➧Leseni ya udereva daraja "C". ➧Ujuzi wa miaka mitatu kuendesha magari ya shule, itakuwa ni sifa ya ziada. ➧Mwenye kuwasiliana na kuhusiana vyema na wengine. ➧Mchapa kazi, mvumilivu, mstahimilivu na mwaminifu. ➧Mwenye ujuzi wa kupangilia kazi na muda vizuri, umakini na kuweza kufanya kazi kwa kujitegemea. JINSI YA KUTUMA MAOMBI: Mwombaji anatakiwa kuleta barua ya maombi, maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV), nakala ya vyeti vya taaluma na udereva. Mahali: Shule ya St.Mark's Miyuji Dodoma Tanzania. Maombi yote yanatakiwa kufikishwa shuleni ofisini kabla ya tarehe 14 March 2020. au Tuma kupitia Online Job Application Maombi yatumwe kwa: MKURUGENZI WA SHULE S.L.P 3403 MIYUJI DODOMA TANZANIA.               ...