GRADUATION STD VII 2020 ST.MARK'S PRE & PRIMARY SCHOOL DODOMA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
TANGAZO: GRADUATION YA DARASA LA SABA NA PRE STD I ITAFANYIKA TAREHE 24.10.2020 SIKU YA JUMAMOSI NYOTE MNAKARIBISHWA JINSI YA KUSHIRIKI PIGA NAMBA 0764 230 728 KARIBU SANA.
PIA TUNAKUTANGAZIA NAFASI MPYA ZA MASOMO KUANZIA WATOTO WA AWALI MPAKA DARASA LA SITA PATA FOMU YA KUJINGA KWA TZS 10,000 TU.
🏫 TANGAZO LA KUJIUNGA NA SHULE YA ST. MARK’S – DODOMA Tarehe ya Kutolewa: 12 Oktoba 2025 Tunayo furaha kuwataarifu wazazi/walezi kuwa fomu za kujiunga na Shule ya St. Mark's – Dodoma kwa mwaka wa masomo ujao 2026 zinapatikana kuanzia tarehe 12 Oktoba 2025. 📍 Shule yetu iko Miyuji, karibu na Chuo cha Mipango – Dodoma. Inapatikana kwa urahisi, mahali salama na tulivu kwa mazingira bora ya kujifunzia. ✅ Fomu zinapatikana: Mtandaoni kupitia tovuti yetu (www.https://saintmarksdodoma.blogspot.com/) Ofisini – Karibu utembelee ofisi zetu kwa msaada wa moja kwa moja 🎁 OFA! Kwa wanafunzi wote watakaojiunga kuanzia Oktoba hadi Desemba 2025, tunatoa punguzo maalum la ada kama sehemu ya ofa ya msimu huu. 📝 Tunapokea wanafunzi wa: Chekechea Msingi Kwa mawasiliano zaidi: 📞 Simu: [0764230728] 📧 Barua pepe: [saintmarksdodoma@gmail.com] 🌐 Tovuti: [www.https://saintmarksdodoma.blogspot.com/] 📍 Anwani: Miyuji, karibu na Chuo cha Mipango, Dodoma
Matokeo ya Darasa la saba 2023 Dodoma St.Mark's kidedea kwa matokeo ya kuvutia kwa ufaulu wa DARAJA A (BORA) wanafunzi 168 wote wakiwa na (A) sawa na wastani wa 280 St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania
OFA KUBWA SEPTEMBER 2024-DECEMBER 2024 Tunakutangazia OFA ya kujiunga na shule yetu St.Mark's Dodoma Mjini Kwa mwezi September 2024 mpaka December 2024. Mzazi karibu umchagulie mwanao elimi Bora. OFA; mzazi atalipia ada kiasi Cha Tsh 100,000 tu. Pata fomu Bure kupitia APPLY NOW [OFA SEPTEMBER 2024] Tunapokea 1. Baby Class 2. Middle Class 3. Pre std I 4. Std I 5. Std II 6. Std III 7. Std V 8. Std VI Wai sasa nafasi ni chache Karibuni nyote. St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania
Comments