OFA KUBWA SEPTEMBER 2024-DECEMBER 2024 Tunakutangazia OFA ya kujiunga na shule yetu St.Mark's Dodoma Mjini Kwa mwezi September 2024 mpaka December 2024. Mzazi karibu umchagulie mwanao elimi Bora. OFA; mzazi atalipia ada kiasi Cha Tsh 100,000 tu. Pata fomu Bure kupitia APPLY NOW [OFA SEPTEMBER 2024] Tunapokea 1. Baby Class 2. Middle Class 3. Pre std I 4. Std I 5. Std II 6. Std III 7. Std V 8. Std VI Wai sasa nafasi ni chache Karibuni nyote. St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania
Matokeo ya Darasa la saba 2023 Dodoma St.Mark's kidedea kwa matokeo ya kuvutia kwa ufaulu wa DARAJA A (BORA) wanafunzi 168 wote wakiwa na (A) sawa na wastani wa 280 St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania