CHAGUO LAKO Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Hongera! Chaguo lako ni la kiwango cha juu, kwa kuichagua shule ya St.Mark's Umepewa Ofa ya miezi mitatu ya mwanafunzi kujiunga na kusoma bure bila kulipia ada mwezi wa 10-12, 2020. Tunakupongeza sana na karibu sana na mwambie na mwingine kwamba nafasi bado zipo piga 0767 044 797 kwa maelezo zaidi. Ubarikiwe sana Facebook: St.Mark's School Dodoma, Youtube: ST.MARK'S SCHOOL DODOMA, Instagram: stmarksdodoma, Sim: 0767 044 797 Miyuji Dodoma Tanzania Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments ST.MARK'S PRE AND PRIMARY SCHOOL said… Unaweza kuacha Comment yako hapa tutakujibuKaribu sana.
TANGAZO LA MASOMO 2025 TANGAZO LA MASOMO MWAKA WA MASOMO 2025 OFFER KABAMBE KUANZIA MWEZI WA TISA-DESEMBA 2024 ITAKUJIA HIVI PUNDE NA UCHUKUAJI FOMU KUPITIA MTANDAO ITAKUWA BURE. .....SOON....... St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania SOMA ZAIDI»
Ushindi wa matokeo darasa la saba 2023 St.Mark's Dodoma Matokeo ya Darasa la saba 2023 Dodoma St.Mark's kidedea kwa matokeo ya kuvutia kwa ufaulu wa DARAJA A (BORA) wanafunzi 168 wote wakiwa na (A) sawa na wastani wa 280 St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania SOMA ZAIDI»
TANGAZO LA MASOMO OFA KUBWA SEPTEMBER 2024-DECEMBER 2024 Tunakutangazia OFA ya kujiunga na shule yetu St.Mark's Dodoma Mjini Kwa mwezi September 2024 mpaka December 2024. Mzazi karibu umchagulie mwanao elimi Bora. OFA; mzazi atalipia ada kiasi Cha Tsh 100,000 tu. Pata fomu Bure kupitia APPLY NOW [OFA SEPTEMBER 2024] Tunapokea 1. Baby Class 2. Middle Class 3. Pre std I 4. Std I 5. Std II 6. Std III 7. Std V 8. Std VI Wai sasa nafasi ni chache Karibuni nyote. St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania SOMA ZAIDI»
Comments
Karibu sana.