Posts

FOMU YA KUJIUNGA 2026

Habari, kupata form mtandao Namba 0612183154

TANGAZO LA MASOMO 2026

🏫 TANGAZO LA KUJIUNGA NA SHULE YA ST. MARK’S – DODOMA Tarehe ya Kutolewa: 12 Oktoba 2025 Tunayo furaha kuwataarifu wazazi/walezi kuwa fomu za kujiunga na Shule ya St. Mark's – Dodoma kwa mwaka wa masomo ujao 2026 zinapatikana kuanzia tarehe 12 Oktoba 2025. 📍 Shule yetu iko Miyuji, karibu na Chuo cha Mipango – Dodoma. Inapatikana kwa urahisi, mahali salama na tulivu kwa mazingira bora ya kujifunzia. ✅ Fomu zinapatikana: Mtandaoni kupitia tovuti yetu (www.https://saintmarksdodoma.blogspot.com/) Ofisini – Karibu utembelee ofisi zetu kwa msaada wa moja kwa moja 🎁 OFA! Kwa wanafunzi wote watakaojiunga kuanzia Oktoba hadi Desemba 2025, tunatoa punguzo maalum la ada kama sehemu ya ofa ya msimu huu. 📝 Tunapokea wanafunzi wa: Chekechea Msingi Kwa mawasiliano zaidi: 📞 Simu: [0764230728] 📧 Barua pepe: [saintmarksdodoma@gmail.com] 🌐 Tovuti: [www.https://saintmarksdodoma.blogspot.com/] 📍 Anwani: Miyuji, karibu na Chuo cha Mipango, Dodoma

TANGAZO LA MASOMO

Image
OFA KUBWA SEPTEMBER 2024-DECEMBER 2024 Tunakutangazia OFA ya kujiunga na shule yetu St.Mark's Dodoma Mjini Kwa mwezi September 2024 mpaka December 2024. Mzazi karibu umchagulie mwanao elimi Bora. OFA; mzazi atalipia ada kiasi Cha Tsh 100,000 tu. Pata fomu Bure kupitia  APPLY NOW [OFA SEPTEMBER 2024] Tunapokea 1. Baby Class 2. Middle Class 3. Pre std I 4. Std I 5. Std II 6. Std III 7. Std V 8. Std VI Wai sasa nafasi ni chache Karibuni nyote. St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania

TANGAZO LA MASOMO 2025

TANGAZO LA MASOMO MWAKA WA MASOMO 2025 OFFER KABAMBE KUANZIA MWEZI WA TISA-DESEMBA 2024 ITAKUJIA HIVI PUNDE NA UCHUKUAJI FOMU KUPITIA MTANDAO ITAKUWA BURE. .....SOON....... St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania

FORM MTANDAO

Image
APPLY TO GET ONLINE FORM https://saintmarksdodoma.blogspot.com/p/coming-soon.html BOFYA HAPA KUTUMA FOMU. St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania
Image
HABARI, TUNAKUTANGAZIA KUWA LINK YA KUNUNUA FOMU MTANDAO IMEBORESHWA SASA BOFYA HAPA  Please Call 0612183154 St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania

Ushindi wa matokeo darasa la saba 2023 St.Mark's Dodoma

Image
Matokeo ya Darasa la saba 2023 Dodoma St.Mark's kidedea kwa matokeo ya kuvutia kwa ufaulu wa DARAJA  A  (BORA)  wanafunzi 168 wote wakiwa na (A) sawa na wastani wa 280 St.Mark's Dodoma, Shule Bora Dodoma Tanzania

9 GRADUATION ST.MARK'S DODOMA

Image
*SHULE YA ST. MARKS DODOMA YAFANYA MAHAFALI KWA WAHITIMU WA DARASA LA SABA LEO TAREHE 30/09/2023* //** Shule bora na kubwa Inayofanya vizuri Awali na Msingi ST. Marks iliyopo Kata Ya Miyuji Mkoa wa Dodoma leo imefanya Mahafali rasmi ya kuwaaga Vijana wao wa Darasa la Saba. Akisema Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Mr. Sospeter Remigius kuwa Shule inafanya vizuri kwenye nyanja zote Kitaaluma, Kimichezo,Kiroho na kitamaduni na Shule imeshika Nafasi ya Kwanza 2020 na 2022 Kimkoa kwa Mtihani wa darasa la Saba. Pia Mkurugenzi wa Shule Hiyo Mheshimiwa Eng. Aristides Mutungi ameonesha jitihada kwenye kuipambania Shule kwani amenunua Idadi kubwa ya Bus za Shule na kwa sasa Shule ipo kwenye hatua za Mwisho wa kumaliza Jengo Kubwa ya Ghorofa litakalotumika kama Madarasa na Ofisi za Shule. Eng:Aristides Mutungi Hivyo Chaguo pekee la kupeleka Mtoto wako kwa maendeleo; Kitaaluma,Kiroho, Kitamaduni na Kimichezo ni Moja tu *ST. MARK'S PRE AND PRIMARY SCHOOL* Kwa Mawasilino:Piga  0764 230 728 au 0752 ...

NAFASI ZA MASOMO 2024 ST.MARK'S DODOMA

HABARI NJEMA, Shule ya St.Mark's Dodoma tunakutangazia kufunguliwa kwa dirisha la masomo kwa mwaka wa masomo 2024 leo hii. unaweza kufika shuleni kuchukua form au unaweza kupata form kupitia <<<<    Apply For 2024 >>>> ni njia salama.

JIPATIE FOMU MTANDAO

Image
 HABARI, TUNAKUTANGAZIA KUCHUKUA FOMU MTANDAO  KUPITIA  HAPA

TANGAZO LA MASOMO 2022-2023

 TANGAZO, MWAKA WA NEEMA NI MWAKA 2022 NA MWAKA 2023 SASA NAFASI ZIMETANGAZWA NA ZIMEBAKI KIDOGO WAI JAZA FOMU YAKO NAPATA FOMU MTANDAONI  BOFYA HAPA KUJIUNGA.

MFUMO WA MAOMBI UMEFUNGULIWA

Image
 MFUMO WA MAOMBI SASA UMEFUNGULIWA mfumo wa maombi umefunguliwa kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga kwa kupitia kiunganishi cha MFUMO WA KUJIUNGA NA SHULE ST.MARK'S   Epuka wizi maombi ya kujiunga yanatumwa bure unalipia fomu tu na utapigiwa simu 

MSHINDI WA TATU WILAYA, MKOA. Matokeo ya Darasa la saba 2021

Image
 Matokeo yametoka Bofya HAPA kuyaona

NEW APPLY NOW

Image
  TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO Nafasi Mpya Za Masomo Sasa ziko wazi unaweza kununua fomu ya kujiunga shuleni au Mtandaoni na kuipata kwa muda wa dakika 15 baada ya kulipia gharama ya fomu. bofya Link hii (SOA) kupakua fomu kwa kufuata maelekezo. karibu sana shule ya St.Mark's Dodoma

Graduation ya Pre Std I na Std VII-25092021

Image
 

TANZIA

Image
 

SHINDA INFINIX BURE

Image
Facebook Facebook Page Youtube Youtube Account Insta Instagram Account Blog Blog Site  

Happy Workers Day

Image
 #happyworkersday

Ahsante mwalimu kwa kazi yako nzuri

Image
 Tunasema ahsante Mwalimu Yared E Mabalwe kwa kuwa pamoja nasi kwa kipindi chote cha kazi sasa leo umelejea tena nyumbani kulitumikia taifa letu. Ubarikiwe sana na tunakutakia maisha mema

TANGAZO.

------------------------------