Posts

MFUMO WA MAOMBI UMEFUNGULIWA

Image
 MFUMO WA MAOMBI SASA UMEFUNGULIWA mfumo wa maombi umefunguliwa kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga kwa kupitia kiunganishi cha MFUMO WA KUJIUNGA NA SHULE ST.MARK'S   Epuka wizi maombi ya kujiunga yanatumwa bure unalipia fomu tu na utapigiwa simu 

MSHINDI WA TATU WILAYA, MKOA. Matokeo ya Darasa la saba 2021

Image
 Matokeo yametoka Bofya HAPA kuyaona

NEW APPLY NOW

Image
  TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO Nafasi Mpya Za Masomo Sasa ziko wazi unaweza kununua fomu ya kujiunga shuleni au Mtandaoni na kuipata kwa muda wa dakika 15 baada ya kulipia gharama ya fomu. bofya Link hii (SOA) kupakua fomu kwa kufuata maelekezo. karibu sana shule ya St.Mark's Dodoma